🇹🇿 Mswada huu ambapo marehemu Mathias E. Mnyampala anatusimulia habari za maisha yake binafsi ulibaki muda mrefu sana uliozidi miaka arobaini bila kupigwa chapa. Uligunduliwa mwaka 2007 mjini Dodoma na Dkt. Mathieu Roy kwa kushirikiana na TUKI (TATAKI sasa ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam) na mwana wa mwandishi Bwana Charles M. Mnyampala aliyehifadhi mswada huo ukiwa kwenye hali ya nyaraka kwa muda mrefu na kupata kuhaririwa mwaka 2013 na Dkt. Mathieu Roy. Kwa mara ya kwanza, toleo hili kutoka shirika la DL2A – Buluu Publishing (Ufaransa) linawapa wasomaji watukufu na wapenzi wa Kiswahili nafasi ya pekee ya kugundua maisha ya mzungupule huyo wa Kiswahili na fasihi yake.
Toleo hilo kamili linaonyesha picha kutoka mswada wa asili wa maisha ya mwandishi pamoja na picha nyingine kutoka kanzi ya nyaraka za Mathias E. Mnyampala.
🇫🇷 Mathias E. Mnyampala (1917-1969) est un écrivain et poète tanzanien célèbre qui a écrit en kiswahili. Ce livre est la première édition du manuscrit de son autobiographie inédite découverte en 2007 à Dodoma (Tanzanie) par Mathieu Roy.
Cette édition complète contient des photographies du manuscrit original de l'autobiographie et d’autres documents issus des archives de Mathias E. Mnyampala.
🇬🇧 Mathias E. Mnyampala (1917-1969) is a famous Tanzanian writer and poet who wrote in Kiswahili. This book is the first edition of the unpublished manuscript of his autobiography discovered in 2007 in Dodoma (Tanzania) by Dr. Mathieu Roy.
This full edition contains some pictures from the original autobiographical manuscript and other documents from Mathias E. Mnyampala's archives.
Mathias E. Mnyampala - Wikipedia
Mathias E. Mnyampala (1917-1969) was a Tanzanian writer, lawyer, and poet. Mnyampala was born on 18 November according to a personal record form of 1956, but he wrote in his autobiography that he ...
About the Author
Maisha ni kugharimia (Miswada ya Mathias E. Mnyampala) (Volume 1) (Swahili Edition)
Amazon.com: Maisha ni kugharimia (Miswada ya Mathias E. Mnyampala) (Volume 1) (Swahili Edition): 9791092789027: Mnyampala, Mathias E., Roy, Mathieu, Mnyampala, Charles M.: Books
https://www.amazon.com/kugharimia-Miswada-Mathias-Mnyampala-Swahili/dp/B00EEELBS8
Buy the Paperback, WorldWide
Kiswahili: Mswada huu ambapo marehemu Mathias E. Mnyampala anatusimulia habari za maisha yake binafsi ulibaki muda mrefu sana uliozidi miaka arobaini bila...
Preview, WorldWide, in archive.org
Mswada huu ambapo marehemu Mathias E. Mnyampala anatusimulia habari za maisha yake binafsi ulibaki muda mrefu sana uliozidi miaka arobaini bila kupigwa chapa. Uligunduliwa mwaka 2007 mjini Dodoma na
https://books.google.fr/books?id=AZWlklu5mn0C&printsec=frontcover
Preview, WorldWide, in Google books