🇹🇿 SAFARI YANGU ni riwaya ya Kiswahili inayoyateka na kuyaakisi maisha ya vijana wengi wanaotamani kufanikiwa maishani kwa njia ya mkato. Mwandishi amejaribu kutumia ufundi wa lugha kwa kuimulika jamii yake na kuyaibua mambo yanayowasibu vijana wengi wa sasa. Zaharani anatamani kuishi Ulaya akiamini kuwa huko ndiko kwenye pepo ya dunia. Anajenga mazoea na mgeni wa kizungu (Eliza) aliyekuja kijijini kwao kwa ajili ya utafiti wa mambo ya misitu na vyanzo vya maji. Eliza anaamua kugharamia safari ya Zaharani ili aishi Ulaya. Hali tete inamkabili Zaharani baada ya mchumba wa Eliza kubaini kuwa Eliza ndiye aliyeidhamini safari ile. Anaamua kuiwekea mguu safari yake na hapo Eliza anamtelekeza Zaharani hotelini nchini Kenya bila ya matakwa yake. Hamu na shauku ya kwenda Ulaya inapotea na kumsababishia matatizo mengi maishani mwake. Hatimaye, mambo yakamzunguka na kumgeuka.
Safari yangu ou "mon voyage" est un roman en kiswahili d'Ali Hilal qui explore l'effet destructeur du mirage de l'Occident comme terre d'abondance sur la jeunesse africaine. Le phénomène est incarné dans la rencontre impossible entre Zaharani, un jeune tanzanien, et Eliza, jeune chercheuse britannique qui fait des recherches dans son village sur l'île de Pemba. Le rêve de Zaharani de rejoindre Eliza en Europe va le conduire progressivement vers la perte de contrôle de la situation, l'échec et l'exclusion. Dangers dont le but de ce roman est d'avertir le lectorat swahilophone, en particulier les jeunes et leurs familles par le moyen d'un texte fin et élaboré. Cette deuxième édition a pour origine une réécriture complète du texte par l'auteur, il y dépeint le potentiel de déstructuration des sociétés que porte la mise en contact brutale de cultures qui ne se comprennent pas forcément. Zaharani ne sera pas simplement trahi par Eliza qui l'abandonne sans ressources dans une chambre d'hôtel à Nairobi au Kenya, il aura aussi trahi les siens, enfreint de nombreuses règles sociales pour la suivre et devra reconstruire sa vie à Pemba après la catastrophe.
Noté . Safari yangu: Toleo la Pili - Ali, Ali Hilal et des millions de romans en livraison rapide
https://www.amazon.fr/Safari-yangu-Toleo-Ali-Hilal/dp/1539514374
Buy the Paperback, WorldWide
Ali Hilal Ali is a budding Kiswahili novelist and poet. He was born in Kalani, Pemba, in 1989, and grew up in Wete, where he started his primary school education in 1997. He later received his ...