Kitabu cha Usawiri wa ualbino katika fasihi ya Kiswahili kinachunguza changamoto zinazowakabili watu wenye ualbino nchini Tanzania, ambapo wanakabiliwa na athari za mionzi ya jua na matatizo ya kuona. Utafiti unaonesha umuhimu wa elimu katika kubadilisha mtazamo hasi dhidi ya ualbino na kujenga jamii inayojumuisha kila mtu.
Aidha, kitabu kinajadili jinsi gani ualbino unavyoonekana katika jamii na fasihi, na kinaonyesha kwamba mitazamo inabadilika pale watu wenye ualbino wanapotambuliwa kwa mchango wao katika jamii. Kuna mifano katika fasihi ambapo wahusika wenye ualbino wanathaminiwa na kukubalika, hali inayochangia kupunguza unyanyapaa na kuendeleza ukubalifu wa kijamii.
WASIFU WA MWANDISHI: Elizabeth Godwin Mahenge ni mwalimu wa Kiswahili kwa wageni na wenyeji. Vilevile ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kuuza Kiswahili kwa njia ya masafa ya Swahili Speaking Center ambayo makao yake makuu ni Dar es Salaam Tanzania. Anajulikana pia kwa majina mbalimbali yakiwemo ‘MWANAHEGO’, ‘MAMAARIDHIO, ‘MAMAKAIFA’, ‘MAMA WA SPESHONIDI’ kila jina lina historia yake. Kwa sasa mwandishi ni mfanyakazi wa vyuo vikuu maarufu duniani ambavyo ni: Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam nchini Tanzania na University of Cape Town in South Africa. Ameandika vitabu mbalimbali vyenye maudhui mbalimbali ambavyo baadhi vinapatikana Swahili Speaking Center, LULU.COM, AMAZON.COM, na BULUU PUBLISHING.
Usawiri wa ualbino katika fasihi ya Kiswahili est un essai en swahili, tiré de la recherche doctorale du Dr Mahenge-Dandi, qui traite de la représentation de l'albinisme dans la littérature swahilie. Il explore les défis auxquels sont confrontées les personnes atteintes d'albinisme en Tanzanie, où elles sont particulièrement vulnérables aux effets nocifs des rayons du soleil et souffrent souvent de problèmes de vision. Le texte souligne l'importance de l'éducation pour changer les perceptions négatives de l'albinisme et promouvoir une société plus inclusive.
En outre, cet essai examine la manière dont l'albinisme est perçu dans la société et la littérature, révélant que les attitudes changent lorsque les personnes atteintes d'albinisme sont reconnues pour leurs contributions à la communauté. Il met en lumière des exemples de la littérature swahilophone où les personnages atteints d'albinisme sont valorisés et acceptés, ce qui contribue à réduire la stigmatisation et à favoriser l'acceptation sociale.
Usawiri wa Ualbino katika Fasihi ya Kiswahili
Kitabu cha Usawiri wa ualbino katika fasihi ya Kiswahili kinachunguza changamoto zinazowakabili watu wenye ualbino nchini Tanzania, ambapo wanakabiliwa na athari za mionzi ya jua na matatizo ya ...
Buy the Paperback, WorldWide
Usawiri wa Ualbino katika Fasihi ya Kiswahili
Kitabu cha Usawiri wa ualbino katika fasihi ya Kiswahili kinachunguza changamoto zinazowakabili watu wenye ualbino nchini Tanzania, ambapo wanakabiliwa na athari za mionzi ya jua na matatizo ya ...
https://books.google.fr/books/about?id=zhgBEQAAQBAJ&redir_esc=y
Read some extracts online !