Overblog Tous les blogs Top blogs Associations & ONG
Suivre ce blog Administration + Créer mon blog
MENU

🇹🇿 Marehemu Mathias E. Mnyampala (1917–1969) alikuwa mwanasheria, mwandishi, na mshairi mashuhuri wa Tanzania aliyeandika kwa lugha ya Kiswahili. Mswada wa tawasifu yake uliandikwa kati ya mwaka 1968 na 1969, punde kabla ya kifo chake. Kazi hii, ambayo...

Lire la suite
Tag(s) : #Swahili Books, #Mathias E. Mnyampala, #Christianity, #Religion

🇹🇿 Marehemu Mathias E. Mnyampala (1917-1969) aliandika habari za maisha yake wakati alipokuwa ameshaona kwamba anakomea mwisho wa uhai wake kutokana na kuumwa sana na ndwele kati ya mwaka 1968 na 1969. Wakati huo alikuwa ameshakuza sana lugha ya Kiswahili...

Lire la suite
Tag(s) : #Swahili Books, #Mathias E. Mnyampala, #Charles M. Mnyampala, #Mathieu Roy, #Christianity, #Religion
<< < 1 2 3 4 > >>