🇹🇿 Hashil Seif Hashil alizaliwa kwenye ngarawa katika maji ya bahari ya Pemba Januari 12, 1938. Alisoma skuli ya msingi ya Mkwajuni na baadaye katika iliyokuwa Seyyid Khalifa Secondary Technical School, Beit-el-Ras, Unguja. Alikuwa ni mmoja wa vijana...
Lire la suiteswahili books
Safari yangu
🇹🇿 SAFARI YANGU ni riwaya ya Kiswahili inayoyateka na kuyaakisi maisha ya vijana wengi wanaotamani kufanikiwa maishani kwa njia ya mkato. Mwandishi amejaribu kutumia ufundi wa lugha kwa kuimulika jamii yake na kuyaibua mambo yanayowasibu vijana wengi...
Lire la suiteNukuu za Nyakati Zetu
🇹🇿 Kitabu cha Falsafa za Enock Maregesi: Nukuu za Nyakati Zetu ni mkusanyiko wa nukuu za Enock Maregesi, kila nukuu kuu na maana yake, kila siku na nukuu yake kwa mwaka mzima. Ni mkusanyiko wa nukuu kuu 365 zenye kuleta hamasa na msukumo wa mafanikio...
Lire la suiteAndamo. Diwani ya Mohammed Ghassani
🇹🇿 Andamo ni diwani ya tungo za ushairi zilizoandikwa na Mohammed Ghassani kwa muongo mmoja kuanzia miaka ya mwanzoni ya 1990 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000. Ni tungo zinazoogelea pamoja naye kwenye bahari ya uzoefu wa mwanzo wa ujana kuelezea hadithi...
Lire la suiteKiswahili kwa wageni. Kiongozi cha mwalimu
🇹🇿 Kitabu hiki cha kiongozi cha mwalimu, kimekusudia kuwa mwongozo kwa ajili ya kuwafundisha wageni. Kitabu kinamwelekeza mwalimu namna ya kumfundisha mwanafunzi wa kiwango cha kwanza, cha pili, na cha tatu. Katika kila hatua ya kumfundisha mwanafunzi...
Lire la suiteCommon mistakes in Kiswahili
Cover (Paperback) 🇹🇿 🇬🇧 Common Mistakes in Swahili is a grammar book specifically for second language users. It gives you the a, b, c, d's of Swahili language. It goes further by explaining grammatical stuffs that are important in learning Swahili language....
Lire la suiteUandishi katika Kiswahili
🇹🇿 Kitabu hiki cha Uandishi katika Kiswahili kinamwelimisha mwanafunzi wa uandishi namna bora ya kuandika kazi yake. Kazi mbalimbali za kiutungaji zimegusiwa ikiwa ni pamoja na insha, hotuba, risala, na utungaji. Mwandishi anaelezea hatua mbalimbali za...
Lire la suiteNasema Kiswahili
🇹🇿 🇬🇧 Nasema Kiswahili “I speak Swahili”, is a fully integrated Kiswahili language learning manual from the Beginner level to the Intermediate and the Advanced levels. The grammar of the language is well and clearly described. Each chapter is enriched...
Lire la suiteMaisha ni kugharimia
🇹🇿 Autobiographie en kiswahili d’un magistrat et poète tanzanien Le texte en kiswahili de ce livre correspond au manuscrit de l’autobiographie de Mathias E. Mnyampala (1917-1969). Il constitue un trésor du patrimoine littéraire tanzanien qui était demeuré...
Lire la suiteUgogo na Ardhi yake
🇹🇿 Achevé en 1961, Ugogo na ardhi yake "l'Ugogo et sa terre" est le premier traité complet de géographie rédigé en kiswahili au sujet de la région de l'Ugogo au centre de la Tanzanie continentale. Le livre est aussi pionnier dans le domaine de l'écologie...
Lire la suite