🇹🇿 Kwa lugha nyepesi ya Kiswahili fasaha, Kiunguja, Ibrahim Mohammed Hussein, anasimuliya kwa uwazi na ujasiri mkubwa, yale yaliyomsibu baada ya kuuwawa Rais wa Kwanza wa iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, na Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi,...
Lire la suitezanzibar
Maisha Yangu Na Ninayoyakumbuka
🇹🇿 Katika kitabu hiki, Mohammed AbdulRahman Mkufunzi anafanya tafkari ya safari ya zaidi ya miongo sita ya maisha yake, akielezea yale anayoyakumbuka, kwa kuyasikia kutoka kwa wazee, kuyaona kwa macho yake na kuyaishi tokea utotoni mwake hadi utuuzimani....
Lire la suiteMy Grandpa's Garden, Zanzibar Poems
🇬🇧 My Grandpa's Garden, Zanzibar Poems A presentation of a collection of poems, coupled with artistic photographs, produced by a brilliant Zanzibar-born artist, photographer, author and theatrical producer, Issak Esmail Issak. What started as individual...
Lire la suiteA Zanzibar architect’s unsung legacy
🇬🇧 A Zanzibar architect’s unsung legacy The story of Ajit Singh Hoogan Architect, Artist, Philanthropist, followed by Sportsman and MP, The story of Parmukh Singh Hoogan Ajit Singh, a Zanzibar architect who also was a painter, a man of the arts, whose...
Lire la suiteMaisha yangu, Khamis Abdulla Ameir
"MAISHA YANGU: KHAINI AU MUHANGA WA MAPINDUZI YA ZANZIBAR?" ni kitabu kinachoeleza historia ya Zanzibar ya hivi karibuni na vipi Muungano baina ya Zanzibar na Tanganyika ulivyoanzishwa hadi kuwepo ... “MAISHA YANGU: KHAINI AU MUHANGA WA MAPINDUZI YA ZANZIBAR?”...
Lire la suiteShuwari
book cover 🇹🇿 🇬🇧 Haji Gora Haji, born in 1933 on the island of Tumbatu, Zanzibar, represents a living archive of poetic and philosophical knowledge, which is transformed into verses with a characteristic voice enriched by dialectal features (from Tumbatu...
Lire la suiteMimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar
🇹🇿 Hashil Seif Hashil alizaliwa kwenye ngarawa katika maji ya bahari ya Pemba Januari 12, 1938. Alisoma skuli ya msingi ya Mkwajuni na baadaye katika iliyokuwa Seyyid Khalifa Secondary Technical School, Beit-el-Ras, Unguja. Alikuwa ni mmoja wa vijana...
Lire la suiteSafari yangu
🇹🇿 SAFARI YANGU ni riwaya ya Kiswahili inayoyateka na kuyaakisi maisha ya vijana wengi wanaotamani kufanikiwa maishani kwa njia ya mkato. Mwandishi amejaribu kutumia ufundi wa lugha kwa kuimulika jamii yake na kuyaibua mambo yanayowasibu vijana wengi...
Lire la suiteAndamo. Diwani ya Mohammed Ghassani
🇹🇿 Andamo ni diwani ya tungo za ushairi zilizoandikwa na Mohammed Ghassani kwa muongo mmoja kuanzia miaka ya mwanzoni ya 1990 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000. Ni tungo zinazoogelea pamoja naye kwenye bahari ya uzoefu wa mwanzo wa ujana kuelezea hadithi...
Lire la suite