Jahazi la ushairi la Mwajabu Ali Kachenje Possi lilianza safari yake zamani za utawala wa Waingereza katika shule ya kati ya wasichana ya Same. Likapita Korogwe na Machame, likafika Chang’ombe na Morogoro Sekondari ambako mtunzi, akiwa mwalimu wa Kiswahili,...
Lire la suite