🇹🇿 Wasifu : Jane D. Mwanizuwa Sabini (Jane Davis).Ni mwandishi chipukizi wa simulizi riwaya na tungo za kishairi. Alizaliwa tarehe 20 Januari mnamo mwaka 1995 huko wilaya ya Uyui mkoani Tabora. Alipata elimu ya msingi Igoko shule ya msingi na elimu ya...
Lire la suiteswahili books
Kununuliwa kwa Damu ya Yesu
🇹🇿 KUHUSU KITABU Katika kurasa za kitabu hiki, tutajifunza kuhusu maana ya fidia ya dhambi, umuhimu wa Damu ya Yesu, na jinsi tunavyoweza kuishi kulingana na thamani ya ukombozi alioutupa. Pia, tutachunguza jinsi Damu ya Yesu inavyotuletea ushindi, uhuru,...
Lire la suiteBaraza ya Majestic na Machinjioni kwa Bamkwe
🇹🇿 Kwa lugha nyepesi ya Kiswahili fasaha, Kiunguja, Ibrahim Mohammed Hussein, anasimuliya kwa uwazi na ujasiri mkubwa, yale yaliyomsibu baada ya kuuwawa Rais wa Kwanza wa iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, na Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi,...
Lire la suiteUsawiri wa Ualbino katika Fasihi ya Kiswahili
Kitabu cha Usawiri wa ualbino katika fasihi ya Kiswahili kinachunguza changamoto zinazowakabili watu wenye ualbino nchini Tanzania, ambapo wanakabiliwa na athari za mionzi ya jua na matatizo ya kuona. Utafiti unaonesha umuhimu wa elimu katika kubadilisha...
Lire la suiteMaisha Yangu Na Ninayoyakumbuka
🇹🇿 Katika kitabu hiki, Mohammed AbdulRahman Mkufunzi anafanya tafkari ya safari ya zaidi ya miongo sita ya maisha yake, akielezea yale anayoyakumbuka, kwa kuyasikia kutoka kwa wazee, kuyaona kwa macho yake na kuyaishi tokea utotoni mwake hadi utuuzimani....
Lire la suiteMambo 15 Tunayokosea Wakati wa Kuomba
🇹🇿 “Mambo 15 Tunayokosea Wakati wa Kuomba”, ni kitabu kinachoeleza makosa ambayo tumekuwa tukiyafanya wakati wa kuomba yanayosababisha maombi yetu yasijibiwe na Mungu Baba. Pia, kinaeleza utofauti uliopo kati ya sala na maombi; na kina shuhuda za kweli...
Lire la suiteMaisha yangu, Khamis Abdulla Ameir
"MAISHA YANGU: KHAINI AU MUHANGA WA MAPINDUZI YA ZANZIBAR?" ni kitabu kinachoeleza historia ya Zanzibar ya hivi karibuni na vipi Muungano baina ya Zanzibar na Tanganyika ulivyoanzishwa hadi kuwepo ... “MAISHA YANGU: KHAINI AU MUHANGA WA MAPINDUZI YA ZANZIBAR?”...
Lire la suiteBikira Maria Mama wa Yesu Kristo
🇹🇿 Bikira Maria Mama wa Yesu Kristo ni kitabu kinachohusu historia ya Mama Bikira Maria ikianza na maandalizi ya kuzaliwa kwake; maisha yake baada ya kuzaliwa; kuchaguliwa kwake na Mungu Baba kuwa Mama wa Mkombozi kupitia ujumbe wa malaika Gabrieli; jinsi...
Lire la suiteShuwari
book cover 🇹🇿 🇬🇧 Haji Gora Haji, born in 1933 on the island of Tumbatu, Zanzibar, represents a living archive of poetic and philosophical knowledge, which is transformed into verses with a characteristic voice enriched by dialectal features (from Tumbatu...
Lire la suiteMtu wa kazi
🇹🇿 Mapenzi huponya. Mapenzi huangamiza. Kuwa makini. G aka Ganzi, kijana katili muuaji asiye na chembe ya huruma, anadondokea katika penzi zito la msichana mrembo aitwae Tausi. Miezi mitatu kabla, kijana huyo alikuwa hahitaji kuwa na rafiki wala mpenzi,...
Lire la suite